Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonus track...! Enjoy.
Mwenye Wimbo wa mapacha 50/50 naomba
Mwenye nyimbo ya marquise sumu ya mapenziHuu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Kuna ngona yeyote kamshirikisha Mbishi Nikki humo?
Ndio bro,ipoKuna ngona yeyote kamshirikisha Mbishi Nikki humo?
Nilisikia kipande cha verse ya Nikki huko IG ametisha sana...Ndio bro,ipo
Kuna ile moja inaitwa "Tip Top" nimeitafuta bila mafanikioTip top connection nyimbo zao naziomba za kundi tu
Anaiuza mwenyewe bro,kwa shilingi elfu 10 anakupatia na ngoma kadhaa za bonus ..so utachagua mwenyew akutumie kupitia email au whatsapp as documentsNilisikia kipande cha verse ya Nikki huko IG ametisha sana...
Album inapatikana vipi?
Daah! Poa poa broAnaiuza mwenyewe bro,kwa shilingi elfu 10 anakupatia na ngoma kadhaa za bonus ..so utachagua mwenyew akutumie kupitia email au whatsapp as documents
Kuna ile moja inaitwa "Tip Top" nimeitafuta bila mafanikio
Sure! Mwenyewe hiyo ngoma inanikumbushaga sehemu na vitu ambavyo ata sivikumbuki......Iyo iyo kiitikio ni mb dog kaimba aiseee iyo ngoma ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa