Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mkuu kuna wimbo wa kitambo unaimbwa hv
“Haki ya Mama minakupenda
Beibe beibee ninakupenda ee
Mnafuga Mbwa ntakuja na paka nami najua
lazima we utatoka
Kaka yako bondia siwezi kumkimbia
Nitakuja kwenu hata ukinibania
Prof Jay ft Mkoloni -Baby
 
Habari wadau! Squeezer na Maunda Zorro "my love" kama haujapandishwa naomba upandishwe.
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44] Ahsante sana chief KIOO[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom