Kuna wimbo uliimbwa na bendi unahimiza watu kwenda Gezaulole na Kibugumo kwenda kulima
Mwenye nao unaitwa GEZAULOLE (Nadhani)
Kuna wimbo wa fanani yule wa HBC aliimbaga ""fanani wa uhakika katika anasikika nashika mike n pata shika"" long time sana huo wimbo i wish nikiupata nitanenepa sana
Pls mwenye kuujua na aliyenao naomba unitumie wasap namba 0657489670
Kiyoo ntupie track moja ya q chief chorus inasema karolina mwite saraah mwambie kwenye dens kuna paree weita ×2 wewe letaaa
ninayo remix na zizi na johPia nyimbo ya darasa ya skati tamaa ya mwanzo kbs
Wimbo wa Siwema namba 1&2Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965
Hiyo nyimbo imepigwa marufukuMabaga fresh tunataabika tunasurubika
Fina mango _ Shoga rmxHivi kaimba msanii gani??