Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo wa fanani yule wa HBC aliimbaga ""fanani wa uhakika katika anasikika nashika mike n pata shika"" long time sana huo wimbo i wish nikiupata nitanenepa sana
Pls mwenye kuujua na aliyenao naomba unitumie wasap namba 0657489670
 

Attachments

Asante Mkuu!

Kuna huu mwingine nimeusaka sana napata live performance huko YouTube haiko poa.

Unaweza kuwa na audio ya,

Embakasi- Les Mangelepa
 
Naombeni mwenye wimbo wa dini unaimba hiv...(mwanzoni)


"Siku ya kufa kwangu,/
mimi siifahamu/
Hivyo yabidi sasa, niyatengeneze maishaa./"

Af chorus inaimbwa hivi..



"Mwili wangu ukiwekwa/ mule kaburini/
Ndugu zangu watakuwaa/ wanahuzunika/
Kuuaga mara ya mwisho...."


Naombeni wakuu
 
Bless Up Mkuu......Kimya Changu nimeipata...ukiupata huo wa Kihindi nitashukuru sana
 
Nimeumisi sana wimbo wa Dully Sykes "nyambizi" japo miaka ya nyuma uliwahi pigwa pin kwenye media.
 
msaada wakuu
1😛aipam soldier ft gnako v_ vumilia
2: king gk ft Jeff jafary _ shika mic
3: dani msimamo ft mkoloni _ aku
4: paipam soldier _ nipe gwara nipe tano
5: Q chief ft fanani _ mwana mnyonge
 
Wakuu kuna jamaa aliwahi imba ngoma kuhusu UKIMWI nakumbuka baadhi ya mashairi.
"Hebu sikilizeni kwa makini
Mapenzi hayo ya kwenye pombe
Yana hatari nawaambia
Kuna ugonjwa umetangazwa
Ungeliwaona walio ugua I
UKWIMWI
wamekoonda wamebaki mifupa mitupu
Cheka lakini kaburi lakungoja''
PIA KATIKA WIMBO HUU ALISIMULIA KISA CHA JAMAA KUKUTANA NA DEMU BAA NA WAKAWA WANAJIBIZANA
Juzi juzi nikiwa kwenye baa moja akaingia jamaa mmoja amevaa suti moja maridaadi
akaagiza muhudumu nipe bia
Mara akaingia mdada mmoja kiatu chake kinalia kwa kwa kwaa
jamaa akasema lazima niopoe
Dada unakunywa soda gani
demu akawa anasema
"Mimi nikinywa soda natapika mimi nakunywa vinywaji vikali vikali tuu"
Dah mkanisaidia hata jina la huyo jamaa tu mtakuwa mmenisaidia.
CC
KIOO
 
Back
Top Bottom