Jamani eeeh na mie leo naomba niombe wimbo wa mwanadada anaitwa Jolie wimbo unaitwa Mara_Ngapi.
Niliomba nyimbo 2 hapo nyuma Chivalo_Unanikumbusha na wimbo wa Witness Wa Wakilisha kipindi anaitwa Bad_Gear mpaka leo sijazipata.
Nikasema labda hizo ni kitambo sana, sasa huyu Jolie ni mpya kabisa hope mtakuwa nayo wadau #Jolie_Mara_Ngapi Hata hela ya vocha nitatoa aisee.
Nimejaribu kumcheki twitter jolie_tz account yake naona iko suspended, kama mtu ana account yake ya Instagram naombeni pia. Kuna shavu nataka nimpe.
Natanguliza shukran zangu kwenu wadau. Thanks In Advance.