Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jolie_tz IGJamani eeeh na mie leo naomba niombe wimbo wa mwanadada anaitwa Jolie wimbo unaitwa Mara_Ngapi.
Niliomba nyimbo 2 hapo nyuma Chivalo_Unanikumbusha na wimbo wa Witness Wa Wakilisha kipindi anaitwa Bad_Gear mpaka leo sijazipata.
Nikasema labda hizo ni kitambo sana, sasa huyu Jolie ni mpya kabisa hope mtakuwa nayo wadau #Jolie_Mara_Ngapi Hata hela ya vocha nitatoa aisee.
Nimejaribu kumcheki twitter jolie_tz account yake naona iko suspended, kama mtu ana account yake ya Instagram naombeni pia. Kuna shavu nataka nimpe.
Natanguliza shukran zangu kwenu wadau. Thanks In Advance.
jolie_tz IG
Oooh Owkay ngoja nimcheki mkuu. Thanks bro.
Wimbo umeimbwa na Fina Mango kipindi hicho akiwa mtangazaji redio cloudsKaimba zongo analimwanya hatari na wimbo nahisi unaitwa shoga
Mkuu huyo sio Solo Thang,aliyoimba hyo nyimbo anaitwa Imam Abass ft juma nature,- Bila sanaaMkuu KIOO naomba ngoma ya bila sanaa,,, nadhani ni Solo Thang ft Juma Nature
nidondoshee hio nakala basi arifu 😁Mkuu huyo sio Solo Thang,aliyoimba hyo nyimbo anaitwa Imam Abass ft juma nature,- Bila sanaa