muntally ally
Member
- Apr 27, 2019
- 36
- 27
Mitihani by Nash Mc,,mwenye nao pls.
Hapana Mkuu mimi pia sina ila niliwahi kuomba hapa kwenye uzi sikuupata tusubiri tuoneMkuu huo huo unakumbukumbu sana nifanyie mpango kama unazo zote
nmepata jina unaitwa sweet baby wa TOT sound...mwenye naokuna wimbo cjui ni bendi gani ile ila unaimbwa
"kila shetani ana mbuyu wake,kama mimi na mpenzi wangu dolicia"..kiitikio anaimba i love u sweet baby...kama kuna mtu anao ana link anilink
Safi sana kakaSifa 10 za dem ya O-Ten
Nnayo nimejaribu kuituma inakuja kivuliMitihani by Nash Mc,,mwenye nao pls.
Naona kuna mdau kaitumaNnayo nimejaribu kuituma inakuja kivuli
ila ipo mtandaoni
Umo humu humu jaribu kupitia huko mwanzo utaupata mie ninao hapa kwenye simu ila shida nashindwa kuuweka hapa bado bado nina ka ugeni kidogoWimbo Starehe na pesa wa K Salu nimeutafuta sana,
Unapopata tumiaaa
Unapokosa jutiaaa
Starehe na pesa ni kama mapacha.
Komaa ndugu uutupie humu, uzi huu unapost nyingi sana kuupata ni kaziUmo humu humu jaribu kupitia huko mwanzo utaupata mie ninao hapa kwenye simu ila shida nashindwa kuuweka hapa bado bado nina ka ugeni kidogo