Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo mmoja kaimba mshikaji mmoja sauti yake inataka kufanana na ya k bazil wimbo wenyewe una baadhi ya maneno haya "ninavuka mito na mabonde naelekea sayarini" wenyewe unazungumzia maisha ya mtoto akiwa tumboni mpaka anatokea duniani unataka kufanana na ule wa Jimmy Jamal usiniue please mwenye kuukumbuka tafadhali ningekuwa najua jinsi ya kutuma voice ya mtu akiimbia huo wimbo ningetuma
 
Nash MC - baada ya chuo.

Dah niko mtaani apa naona kama jamaa aliniimbia u wimbo aise..
 
Naomba mwenye nyimbo za Cosmas Chidumule kiatu cha Yesu zilizo kwenye album yake ya dini ambapo wimbo mmojawapo unaitwa YESU NI BWANA.
Nazitafuta saaaaana
 
kuna wimbo cjui ni bendi gani ile ila unaimbwa
"kila shetani ana mbuyu wake,kama mimi na mpenzi wangu dolicia"..kiitikio anaimba i love u sweet baby...kama kuna mtu anao ana link anilink
 
kuna wimbo cjui ni bendi gani ile ila unaimbwa
"kila shetani ana mbuyu wake,kama mimi na mpenzi wangu dolicia"..kiitikio anaimba i love u sweet baby...kama kuna mtu anao ana link anilink
nmepata jina unaitwa sweet baby wa TOT sound...mwenye nao
 
Wimbo Starehe na pesa wa K Salu nimeutafuta sana,
Unapopata tumiaaa
Unapokosa jutiaaa
Starehe na pesa ni kama mapacha.
 
Wimbo Starehe na pesa wa K Salu nimeutafuta sana,
Unapopata tumiaaa
Unapokosa jutiaaa
Starehe na pesa ni kama mapacha.
Umo humu humu jaribu kupitia huko mwanzo utaupata mie ninao hapa kwenye simu ila shida nashindwa kuuweka hapa bado bado nina ka ugeni kidogo
 
KIOO wimbo wa gk mama kaimba na fina mango siwezi upata
 
Back
Top Bottom