Anko Bantu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 832
- 1,034
jina jingine au jina la artist pleaseMkuu namie naomba wajifanya wajua
NATAFUTA WIMBO ALIOIMBA BUSHOKE UNAITWA #Maria ,NI WIMBO FLANI HIVI WA CHARANGA
NATAFUTA WIMBO ALIOIMBA BUSHOKE UNAITWA #Maria ,NI WIMBO FLANI HIVI WA CHARANGA
Kuna wimbo nadhani umeimbwa na king kikii ila sikumbuki vizur. Unaimbwa kupitia chalinze mbalizi na maeneo mengine anayataja mwenye nao
Justine kalikawe - usitumie cheo chako. Na nyimbo zake nyingine