Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Ipo hapa hapa, i search kwa jina umeondoka
Kuna nyimbo 2 naziyafuta kea mwenye kuzijua anitumie..
1.Taarabu inaitea Mama shughuri Ameimba Mwanahawa ally.
2.Kuna wimbo ameimba afande sele sijui unaitwaje nakumbuka baadhi ya mistari tu..[emoji116]
"Ametoroshwa mpenzi wangu ameniacha mama aaa
Ameondoka ameniacha sina la kufanya,
Amini ipo siku moja utakuja nikumbuka aaa
Ipo siku utakuja nikumbuka mimi...
 
Natafuta bongo flava ya kitambo chorus ulikuwa " ajiraaa ajira kwa watoto noma, tuwapeleke watoto shule ili wapate elimu, elimuu elimu ni muhimu".
 
Waungwana habari za saa hizi plz naomba mwenye wimbo wa inspector haroun maisha utata aitupie plz
 
Natafuta nyimbo ya J SILK-SEMA NINI UNATAKA. kitambo kidogo
 
Wakuu nautafuta sana wimbo unaoitwa KONDAKTA uliochezwa na mwanamuziki Daudi Kabaka kutoka nchini Kenya. Nimeutafuta youtube lakini nimekuta umefungwa. Naomba mdau yeyote aliye na wimbo huu anigaie tafadhali. Asante.
 
Bushoke huyo
NATAFUTA WIMBO FULANI WA CHARANGA ULIOIMBWA KWAKISWAHILI.... [emoji444]akapita kisura[emoji444]nami nikamwita[emoji444]nikauliza waitwa nani[emoji444]naitwa maria[emoji444] oooh maria[emoji444]mtoto kolikoli[emoji444]mtoto zurizuri[emoji444]ntakupa korola[emoji444]
JE NANI ALIIMBA,WIMBO UNAITWAJE,,PIA NISAIDIENI KUUPATA
 
Natafuta wimbo wa saida karoli kaisiki original you tube haupo kabsa naona mix tape tu na remix
 
ALBUM:FUNGA KAZI
KUNDI:HARD BLASTERS(HBC)
MWAKA:2000
Ilikua na ngoma 11.View attachment 1197548
Ilikua ni Album ya 3 ya HBC ikitanguliwa na BLUST NUFF na MAMBO YA MJINI-(kabla ya NIgga J ambae kwasasa ndo Prof J kujiunga HBC)

Mkuu unayo pia Album ya Mr. Paul Ndani ya Love??? Au nyimbo ya Ndani ya Love na Wasiwasi katika album hiyo?
 
Niliomba wimbo wa Mwanahawa Ally unaitwa mama shughuri (taarab)sijapata wazee msaada kwa mwenye nao..
 
Back
Top Bottom