[emoji38][emoji38]hivi wajua km sikuona hili jambo,? Hembu nidokeze kiduchu kitafutwacho,[emoji52]
Mzima eti.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Kama unajua jina la soundtrack ya fredwaa kipindi cha burudani zaidi pale rfa enzi zake tafadhali[emoji38][emoji38]hivi wajua km sikuona hili jambo,? Hembu nidokeze kiduchu kitafutwacho,[emoji52]
Mzima eti.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Download app ya telegram playstore au app store kwa iphone users.Habar mkuu
huko telegram niusach kwa jina gani??
shukrani
Mkuu ulifanikiwa kuupata?Wadau natafuta wimbo ambao msanii simjui jina ila jina la wimbo nahisi ni kampa kampa tena,Huu wimbo ulitengenezewa hadi tangazo na Airtel lile la"Airtel kanipa tena GB sijui nini nini..."..Pia ule wimbo OG verse ya kwanzamwanzo anaimba"Jamani mama yenu ananimalizaga../
Anawazidi hadi ma'pusha akinyogaga..//
Akichezea pen hadi namaliza wino..//
Anapenda muhogo utafikiri bwana kilimo..//",,wadau mwenye kujua jina la msanii na unapatikana Wapi mtandaoni anisaidie naukubali sana...Asanteni.
Wakuu Natafuta nyimbo ya zaman kidogo ya Bob junior ft Chande-Bingwa wa makopa [emoji1545][emoji1545] msaada pliizTUPATE ALBUM YA GANGWE MOBB
JINA:SIMULIZI LA UFASAHA
MWAKA WAKUZINDULIWA:2002
Hii nyimbo IPO humu ilishapandishwa we searchMwenye nyimbo ya p funk ft dullysykes please forgive me ...aiweke hapa
Inagoma kuupload,poleKuna nyimbo ya chindo jina nimelisahau ila mistar ya mwanzo inasema "ninapokaa kwenye dimba vimba kama simba"