Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
dah kuna nyimbo chorus yake-aha aha nimehangaika , cjui ray c yule mwenye kuijua anipe jina lake au atupie nymbo yenyew please
 
Habar mkuu
huko telegram niusach kwa jina gani??
shukrani
Download app ya telegram playstore au app store kwa iphone users.
Kisha jiunge ndani ya hilo group(link yake ndo hiyo hapo juu) kisha usearch kwa jina labda la msanii au wimbo utaukuta na utaupakua
 
Hivi jamani wimbo "sikutaka" Wa unique sisters original version ndo umeshindikana!?
 
Wadau kuna wimbo wa kiasili unaimba....
"Ooh nyamala mwanangu utapata mwali mwingine baba"
Mwenye kujua jina la wimbo au alieuimba tafadhari.
 
Wadau natafuta wimbo ambao msanii simjui jina ila jina la wimbo nahisi ni kampa kampa tena,Huu wimbo ulitengenezewa hadi tangazo na Airtel lile la"Airtel kanipa tena GB sijui nini nini..."..Pia ule wimbo OG verse ya kwanzamwanzo anaimba"Jamani mama yenu ananimalizaga../
Anawazidi hadi ma'pusha akinyogaga..//
Akichezea pen hadi namaliza wino..//
Anapenda muhogo utafikiri bwana kilimo..//",,wadau mwenye kujua jina la msanii na unapatikana Wapi mtandaoni anisaidie naukubali sana...Asanteni.
Mkuu ulifanikiwa kuupata?
 
KIOO

Naomba kama unaweza kuwa na wimbo wa Nikki mbishi uitwao Chill out nisaidie
Pia wait in vain ft zanz B

Tafadhali nakuomba sana mkuu huniangushagi
 
Kuna nyimbo ya chindo jina nimelisahau ila mistar ya mwanzo inasema "ninapokaa kwenye dimba vimba kama simba"
 
Napenda unavyolingaaaa,napenda unavyotembea, napenda unavyolingaa!. Kawimbo haka prod ya miika mwamba kalikuwa kazuri sana
 
"kuzaliwa tanzania nausongo""

Ndio maneno pekee ninayo yakumbuka katika wimbo huo, naomba kuupata wimbo huo.
 
Natafuta jina la ngoma na jina la msanii wa ngoma flani ivi imetengenezwa na Kimambo,mwanzo anaimba"Kihisia Tunafanana..//Kanizidisha na kunigawanya..//.....Tafadhali anaeujua unaitwaje anisaidie
 
Back
Top Bottom