severinembena
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 2,435
- 2,402
Ungetaja jina la wimbo ingekua rahisi sababu nina nyimbo za Kwaya zaidi ya 2,000.Naombeni nyimbo za Xmass ukiwepo ule wenye maneno "Haya twendeni wote kule bethlehemu tukamwone, tukamwone mkombozi wetu"
AsanteUngetaja jina la wimbo ingekua rahisi sababu nina nyimbo za Kwaya zaidi ya 2,000.
Ronald Rubinell - Lance ceron kutoka Album ya kokofiolo multicolor vol III huu unatumika kama soundtrack Kwenye kipindi cha Je wajua RFA kwa miaka mingi sasa.Mafanikio
Ungetaja jina la wimbo ingekua rahisi sababu nina nyimbo za Kwaya zaidi ya 2,000.
Asante kwa kumiliki idadi hiyo barikiwa sana haya twende kazi.
Mi Hossana ya Chidumule tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta Wimbo Wa CHRIS KANTAI unaitwa "huu ni nani g" youtube ulikuepo mwaka jana ila baada ya kufa jamaa nautafuta siupati nakutana na remix tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Natafuta jina la huu wimbo mwenye kuufahamu
Naombeni nyimbo za Xmass ukiwepo ule wenye maneno "Haya twendeni wote kule bethlehemu tukamwone, tukamwone mkombozi wetu"
Sidhani kama ndo huu, kuna version flan hivi hata mim naitafuta saaaaanaUngetaja jina la wimbo ingekua rahisi sababu nina nyimbo za Kwaya zaidi ya 2,000.
Ninao mkuuNaomba wimbo wa solo thang chorus solooo na mpenziii mi nae yeye nami