Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Naombeni nyimbo za Xmass ukiwepo ule wenye maneno "Haya twendeni wote kule bethlehemu tukamwone, tukamwone mkombozi wetu"
 
Wimbo "Yatima" wa FM Academia, ulioimbwa na mwanamuziki Mulemule FBI.

Ndani ya wimbo huo kuna ghani ya Mulemule FBI isemayo "..🎼 Heri kwa wale wazazi wameondoka wakawaachia mali, sisi wazazi wameondoka wametuacha mikono tupu 🎶📼".

Aliyenao tafadhali.
 
Q chief - watu na maisha yao
Mwenye nao anisaidie

"Typed with my thumbs."
 
Natafuta Wimbo Wa CHRIS KANTAI unaitwa "huu ni nani g" youtube ulikuepo mwaka jana ila baada ya kufa jamaa nautafuta siupati nakutana na remix tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Natafuta Wimbo Wa CHRIS KANTAI unaitwa "huu ni nani g" youtube ulikuepo mwaka jana ila baada ya kufa jamaa nautafuta siupati nakutana na remix tu


Sent from my iPhone using JamiiForums

Itakuwa kafa na wimbo wake jamaa, ngoja tumuite KIOO atusaidie aisee...!
 
Back
Top Bottom