mind ur business
JF-Expert Member
- Dec 27, 2018
- 416
- 415
Huo wimbo si uliimbwa na mtoni evangelist kwaya au..Kuna wimbo wa gospel wa zamani unaimbwa
"kama si wewe ee bwana ningekuwa wapi mimi
Kama si wewe watoto wazuri ningewapata wapi mimi"
Nakumbuka kipande hicho tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Natafuta na ninauhitaji wimbo uitwap minou uliopigwa na bana marquiz
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina kanda ile yenyewe na picha ya noti ya 500 na kwaya ni Uinjilisti Hai ya kule Moshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimeku-PMMimi nina kanda ile yenyewe na picha ya noti ya 500 na kwaya ni Uinjilisti Hai ya kule Moshi
Sent using Jamii Forums mobile app
aliimba mchungaji abiud Misholkuna wimbo unaimba 'bora hayati nyerers bora mheshiwa mkapa mora weshimiwa mwinyi watamlilia Munguu"
sijui jina lake
Asante mkuu