Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Ndugu Habari. Naomba mwenye huu wimbo wa Dini RC unaimba Bwana Yesu akawaambia tena akasema Mimi ndimi Nuru ya Ulimwengu. Tafadhali sana Mwenye nao anisaidie
 
Habari
Ninatafuta wimbo wa mchiriku/mnanda unaitwa Baba Asha
Baadhi ya maneno yake ni "huyu baba Asha itabidi aniambie usiku wa jana alikwenda wapi, mimi aliniaga anakwenda kulinda usiku wa jana ndio zamu yake, mbona mjumbe mzee Nanga.....
Sungu sungu hakulinda baba Asha, na ndani hakulala baba Asha..."
Nafikiri ni gari kubwa au atomic waliimba huo wimbo, pia walikuja wakatoa baba Asha namba mbili... kama kuna mtu anao tafadhari nauhitaji sana. Asante sana
 
Nani ana Extended ya:-

BoB Micharazo - Kazi kwanza

.....au hata "instrumental" tu extended ntaunda mwenyewe..

Kuna DJ mmoja niliskia kaipiga kwa media kubwa hapa nchini nimemuomba lakini kanichunia tu.. DJs wa kiafrica tunanyimana hadi Xtendz tu kisa mtu anajua kuchezea Sony Acid na Adobe Audition [emoji16][emoji16] bora hata Djs (Dj Pools) wa majuu wanaziuza na gharama za subscription ni ndogo tu tuna afford...! Bongo hatuna hata DJ Pool moja..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Love Light's By Sunset Sons
Freewheelin By Jack Wins

Mwenye hizo nyimbo afanye kuziweka hapa tafadhali.
 
Samahani mkuu sikufanikiwa kuipata kanda watoto wameipoteza imebaki kasha tu nimesikitika sana
IMG_20200108_095629.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna album moja ya gospel unaitwa MPENDE JIRANI YAKO ya choir moja inaitwa Mtili Gospel Singers ya huko Mafinga,ni ya kitambo na sijui hata kama waliiweka kwenye CD. Kama kuna mtu anayo tafadhali anisaidie
 
Back
Top Bottom