Wadau wapi nitapata zi nyimbo za zamani za hii bendi.

Nazitafuta sana bila mafanikio.

Pia na za muimbaji Jackson Benty za zamani nazitafuta pia.
 
Namaanisha hizo nyimbo za zamani ndio hazipo, ila nyimbo zao mpya zipo nyingi tu mdau ..........

Umenisoma sasa au??
Okay nimekusoma... ila nakushauri ungekuja na orodha ya hizo nyimbo unazoziita ni za zamani, manake wengine ukituambia zamani tunafikiria miaka ya 70, huenda kwako zamani ni 2005.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maxime,
Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa sawa mkuu nimekusoma, mimi natafuta album yao moja hivi nafikiri ilitoka mwaka 1998 labda mpaka 2001 hivi sikumbuki jina vizuri ila kuna wimbo mmoja naukumbuka unaitwa "Ainuliwe Mungu wetu leo .... ainuliwe bwana wa mabwana".

Na Jackson Benty kwenye album yake ya mwazo kabisa nafikiri pia ilitoka miaka hiyo hiyo kuna wimbo unaitwa "Asante Yesu"
 
Hahahahah. Wee jamaa bwana.

Ila umetaka moja tu sitaongeza nyingine kwa sababu ni unreleased songs mkuu.

Hiyo hapo chini aisee. Feel The Vibez Bro.

ndugu tafadhali nisaidie mp3 pete wa juma bhalo
 
Kwa wale wote walio ma-DJ's na wasio pia.

Weka hapa orodha ya nyimbo unazopiga sehemu yoyote ile. Iwe club ama kwenye event mbalimbali.

Nyimbo ziwe za aina zote. Ili wengine pia wazitafute.

Pancho boy
 
Kuna wimbo melody yake iko ivi...ta tat taaa tatataaat ta taa tataa tatata taaa....kwa anaeujua plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…