Natafuta wimbo wa " Let's get it on " By Jade ilitumika kama sound track kwenye movie ya mwaka 1994 iitwayo " inkwell " original ya wimbo huu alifanya marvin gaye. Sasa mimi natafuta iliyorudiwa na hawa wadada watatu wanaokwenda kwa jina la "JADE" Wimbo una dakika 4 na sekunde 15. Binafsi nimeutafuta sana mpaka nimekata tamaa, Wakuu naombeni msaada wenu Tafadhali.
 
Huu uzi umepoa sana siku hizi
Ni kweli kabisa. Ila naona. Sababu inaweza kuwa wachangiaji wengi kwenye uzi huu ni walewale na nyimbo walizoomba ni ama wamezipata au hawajazipata na kama hawajazipata ni ni kwa vile wadau hawana. Usisahau mpaka sasa uzi una kurasa 482. Sio mchezo hasa kwa uzi wa entertainment forum.
 
Kabisa
 
ndio wenyewe?
Huu wimbo umenifanya nijisikie kutokwa machozi. Niliutafuta muda mrefu sana. Nakumbuka nilikuwa namuuguza bibi yangu. Kipindi anaumwa alikuwa hapendi kabisa kuongea, ila kuna siku tumekaa huo wimbo ukapigwa TBC radio, nilimsikia akiuimba. Nilifurahi saaana, nikatamani nijue jina la wimbo nikashindwa. Thanks leo nimeupata but she's not here anymore!!!. Thank you so much
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…