Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mkuu ubarikiwe sana, fanya na ule wa KUNA JAMBO GANI wa hao hao NKINGA

Kizibo
 
Naomba wimbo wa kwaya flani ya watoto wa Makete, ya kipindi cha miaka ya 2008 kurudi nyuma (Sina uhakika mwaka exactly).
Ilikuwa inawekwa sana na kituo cha ITV.

Baadhi ya maneno "tumekuwa walezi, badala ya kulelewa."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta wimbo wa " Let's get it on " By Jade ilitumika kama sound track kwenye movie ya mwaka 1994 iitwayo " inkwell " original ya wimbo huu alifanya marvin gaye. Sasa mimi natafuta iliyorudiwa na hawa wadada watatu wanaokwenda kwa jina la "JADE" Wimbo una dakika 4 na sekunde 15. Binafsi nimeutafuta sana mpaka nimekata tamaa, Wakuu naombeni msaada wenu Tafadhali.
Nikutumiaje kuweka humu siweziii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji120]
Oohooo[emoji23][emoji23][emoji23]Asante mkuu.


Sasa nakupa kazi ngumu..ukiiweza tu hata kabla sijaiona zama PM nitumie namba ya M-pesa.


Naomba wimbo huu kwenye picha
IMG_20200208_162425_879.jpeg


Kizibo
 
Back
Top Bottom