Naomba mwenye wimbo wa remmy ongala shida na wewe,anitumie tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Oten - Mimi
T.O.K - When you cry
Ubarikiwe sana mkuu DaahMimi ~ O-TEN
Naombeni wimbo TUNAONA MAANDIKO umeimbwa na NKINGA CHRISTIAN CHOIR
ARUSHA KWETU
Ingia Youtube utaupataWimbo unaitwa Lala salama wa Diamond
Sio walkman ni "okaman" kama sijakosea
Naomba audio. Siwezi ku download mkuuIngia Youtube utaupata
Link:
Tumia Videoder utaweza kudowload chochote kwenye YouTube, Facebook, Instagram nk.Naomba audio. Siwezi ku download mkuu
Nikutumiaje kuweka humu siweziiiNatafuta wimbo wa " Let's get it on " By Jade ilitumika kama sound track kwenye movie ya mwaka 1994 iitwayo " inkwell " original ya wimbo huu alifanya marvin gaye. Sasa mimi natafuta iliyorudiwa na hawa wadada watatu wanaokwenda kwa jina la "JADE" Wimbo una dakika 4 na sekunde 15. Binafsi nimeutafuta sana mpaka nimekata tamaa, Wakuu naombeni msaada wenu Tafadhali.
Ngoja nipakue mkuuTumia Videoder utaweza kudowload chochote kwenye YouTube, Facebook, Instagram nk.
🙏Mkuu ubarikiwe sana, fanya na ule wa KUNA JAMBO GANI wa hao hao NKINGA
Kizibo
Oohooo[emoji23][emoji23][emoji23]Asante mkuu.[emoji120]