Uliimbwa na parapanda arts hata mm nautafuta sana unaitwa tufungulieni mwenye huo wimbo msaada jaman naupenda sana.
 
"Mama alinihusia maisha ni mshikamano mamaa alinihusia maisha ni mshikamano ishi na watu vizuri mwanangu nakuhusia Kuna mabaya na mazuri hayo ndoivyo Mambo ya dunia ahsante baba na mama ndugu na majirani naomba Dua njema mungu awape imani mkae kwa usalama ninawapa shukrani". Nisaidie huo wimbo unaitwaje ni wazamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye nyimbo;
1. Nenda remix by cheggers
2. Nyumbani by chief
3. Haina fagio by mwana fa
 
Wimbo wa Marlaw na Baby J. Muafaka.
Huu wimbo links zote hazidownload. Msaada

Kuna nyimbo fulani pia ya Pauline Zongo. Sikumbuki jina lakini ulikuwa naarufu sana enzi zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Mama alinihusia maisha ni mshikamano mamaa alinihusia maisha ni mshikamano ishi na watu vizuri mwanangu nakuhusia Kuna mabaya na mazuri hayo ndoivyo Mambo ya dunia ahsante baba na mama ndugu na majirani naomba Dua njema mungu awape imani mkae kwa usalama ninawapa shukrani". Nisaidie huo wimbo unaitwaje ni wazamani

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…