Dah nautafuta huo wimbo ukiupata si vibaya tuka shareKuna wimbo umeimbwa na THT-Tanzania House of Talents akina Mwasiti wamo humo nakumbuka ilikua mwaka 2007 unaitwa daima milele mwenye nao autupie humu basi huwa nautafuta sana
Ntakutumia mwafaka after dakika 30 nifike home, upo kwa pcWimbo wa Marlaw na Baby J. Muafaka.
Huu wimbo links zote hazidownload. Msaada
Kuna nyimbo fulani pia ya Pauline Zongo. Sikumbuki jina lakini ulikuwa naarufu sana enzi zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mr kioo ngoma moja inaitwa shangingi nahisi muungano na madaraka ya jikoni msaada mkuu
Wimbo mzuri tusaidie jinaMkuu mm nahitaji pini hii ya Mr Blue, sijui wimbo unaitwaje
View attachment 1114939
Lord eyez - KweliKuna wimbo mimeusikia radioni,kiitikio chake "kweli" moja ya shairi mtaani hakuna ajira harafu kiitikio ni kweli,mwenye kuufaham anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo humuhumu pitia kurasa za nyuma utaupataKuna wimbo miaka ya 2000 kuna binti hapa bongo simjui jina aliimba uliita "SHEILA", mnisaidie please
Upo you tube pia mkuu...search sheila by Wasira.Kuna wimbo miaka ya 2000 kuna binti hapa bongo simjui jina aliimba uliita "SHEILA", mnisaidie please
Check na page hii ujipakulie kirahisi zaidi 6801Kuna wimbo miaka ya 2000 kuna binti hapa bongo simjui jina aliimba uliita "SHEILA", mnisaidie please
Wimbo wa Marlaw na Baby J. Muafaka.
Huu wimbo links zote hazidownload. Msaada
Kuna nyimbo fulani pia ya Pauline Zongo. Sikumbuki jina lakini ulikuwa naarufu sana enzi zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye nyimbo;
1. Nenda remix by cheggers
2. Nyumbani by chief
3. Haina fagio by mwana fa
mkuu wimbo wa mike tee ft banana zorro “niacheni mie”
Mkuu hizi nyimbo zote ziko Youtube search tu Justin Kalikawe utazikuta,Mwenye hizi nyimbo za Marehemu Justin Kalikawe naziomba
-Sio Ndoto
-Reggae Ragga
-Mama Wa Kambo
-Tenda Wema
-Inawaka
-Tuko Njia Moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee mwenye nyimbo ya Nako 2 Nako ft Loon ya 2006 naomba ambaye anayo anitumie nimeitafuta nimechoka nimeishia kuja huku maana humu kuna vichwa balaa
Sent using Jamii Forums mobile app