Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna nyimbo ya kitambo sana sijui ni ya kisauzi... wakati nakua hom ilkuwa inapgwa sana

Nlkuw naiimba... "esta mwenye nywere esta mwenye nywere"[emoji28]

Najua nlkuw nakosea kuimba ila kn una idea na hyo nyimbo nisaidie

...
Hahahahaha. Mkuu umenifurahisha sana.

Hiyo song Inaitwa "Kwazulu Natal" Imeimbwa na "Mzwakhe Mbuli" (Mzwakhe Mbuli - Kwazulu natal) Nashindwa kuupandisha hapa sababu natumia JF app so Inazingua. Kama vipi tupia namba ya whatsapp Inbox nkutumie or fanya kuutafuta jina hilo nishakupa.
 
Na wimbo wa Taarab kama sikosei ulikuwa Y2K....1999 au 2000 ulivuma sana
 
Kuna ngoma Ray C alitoaga sema haikuwa maarufu ilikuwa na mistari kama "we unaonaje kama ukishiriki nasi sote kwenye mambo mengii, kidole kimoja hakivunji chawaa, shirikiana mambo yawe sawaa"

Ngoma nyingine ni ya Watengwa waliimba na Stopa Rhymecca nadhani baadhi ya mistari ni kama "kipaji changu kinaeuhusu kuimba hardcore"

Kuna taarabu moja ina mistari kama "nashukuru nimestirika Mash'Allah yangu yanyooka, natembea kwa mapaana naringa mie"

Kwa kweli hizi ngoma nikizipata ntafurahi sana.
 
Hahahahaha. Mkuu umenifurahisha sana.

Hiyo song Inaitwa "Kwazulu Natal" Imeimbwa na "Mzwakhe Mbuli" (Mzwakhe Mbuli - Kwazulu natal) Nashindwa kuupandisha hapa sababu natumia JF app so Inazingua. Kama vipi tupia namba ya whatsapp Inbox nkutumie or fanya kuutafuta jina hilo nishakupa.
Dah nashkuru sana kamanda... ngj niudownload, unanikumbusha mbal sana huo wimbo

Thanks much mkuu

...
 
HII NGOMA NIMEITAFUTA ZAIDI YA MIAKA 20 LEO NDIO NIMEGUNDUA LEO NA NILIWAHI KUULIZA HUMU

I’m sorry ya majani alikuwa anamuimbia kajala kama sikosei naitafuta sana ni nyimbo kali sana
 
Kuna ngoma Ray C alitoaga sema haikuwa maarufu ilikuwa na mistari kama "we unaonaje kama ukishiriki nasi sote kwenye mambo mengii, kidole kimoja hakivunji chawaa, shirikiana mambo yawe sawaa"

Ngoma nyingine ni ya Watengwa waliimba na Stopa Rhymecca nadhani baadhi ya mistari ni kama "kipaji changu kinaeuhusu kuimba hardcore"

Kuna taarabu moja ina mistari kama "nashukuru nimestirika Mash'Allah yangu yanyooka, natembea kwa mapaana naringa mie"

Kwa kweli hizi ngoma nikizipata ntafurahi sana.
Dah hiyo ya kwanza umenikumbusha mbaliiii..hiv ni ray c peke yake? Kama kuna wadada wengine hv
 
Ninachokumbuka ni maneno machache. Wimbo unaanza na sauti ya kiume kurap maneno ya kiingereza. Kibwagizo chake ( Chorus) ni sauti nzuri za wadada wakiimba "Songa songa mbele"!! .......Nakumbuka enzi hizo 2003,2004 KissFm iko juu sn,Kuna dada mmoja alikua anaongoza kipindi cha jioni cha Bongofleva kuanzia 11 jioni hadi saa 2 usiku. Jina lake nazani ni Jermey Alikua anaongea Kiswahili kwa taabu kidogo, Ila Kiingereza chake kilikua kizuri sana.alikua anaipenda sn hii ngoma. Naomba mwenye kujua jina la wimbo na kundi lililoimba huo wimbo anisaidie. With thanx

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom