Una uhakika hilo ndio jina la nyimbo?
Fanya research upya then nitumie jina la song me nitakutafutia mkuu coz hilo jina linanipa utata or may be siijui hiyo song.
Hahahahaha. Mkuu umenifurahisha sana.Kuna nyimbo ya kitambo sana sijui ni ya kisauzi... wakati nakua hom ilkuwa inapgwa sana
Nlkuw naiimba... "esta mwenye nywere esta mwenye nywere"[emoji28]
Najua nlkuw nakosea kuimba ila kn una idea na hyo nyimbo nisaidie
...
Tupia whatsapp number Inbox nkufanyie wepesi mkuu.
Kuna nyimbo ya kitambo sana sijui ni ya kisauzi... wakati nakua hom ilkuwa inapgwa sana
Nlkuw naiimba... "esta mwenye nywere esta mwenye nywere"[emoji28]
Najua nlkuw nakosea kuimba ila kn una idea na hyo nyimbo nisaidie
...
Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe - JamiiForumsNatafuta Ikibinda Nkoi ya Diamond Sound...ilivuma sana 1996 na 1997
Mimi hapo hapo Naomba nisaidiwe wimbo wa Nasma khamis kidogo "MAMBO IKO HUKU"Na wimbo wa Taarab kama sikosei ulikuwa Y2K....1999 au 2000 ulivuma sana
Naomba unisaidie jina la hiyo nyimbo Mkuu.
Dah nashkuru sana kamanda... ngj niudownload, unanikumbusha mbal sana huo wimboHahahahaha. Mkuu umenifurahisha sana.
Hiyo song Inaitwa "Kwazulu Natal" Imeimbwa na "Mzwakhe Mbuli" (Mzwakhe Mbuli - Kwazulu natal) Nashindwa kuupandisha hapa sababu natumia JF app so Inazingua. Kama vipi tupia namba ya whatsapp Inbox nkutumie or fanya kuutafuta jina hilo nishakupa.
Ndio huu mkuu... ahsante sana
Please forgive me inaitwaI’m sorry ya majani alikuwa anamuimbia kajala kama sikosei naitafuta sana ni nyimbo kali sana
Dah hiyo ya kwanza umenikumbusha mbaliiii..hiv ni ray c peke yake? Kama kuna wadada wengine hvKuna ngoma Ray C alitoaga sema haikuwa maarufu ilikuwa na mistari kama "we unaonaje kama ukishiriki nasi sote kwenye mambo mengii, kidole kimoja hakivunji chawaa, shirikiana mambo yawe sawaa"
Ngoma nyingine ni ya Watengwa waliimba na Stopa Rhymecca nadhani baadhi ya mistari ni kama "kipaji changu kinaeuhusu kuimba hardcore"
Kuna taarabu moja ina mistari kama "nashukuru nimestirika Mash'Allah yangu yanyooka, natembea kwa mapaana naringa mie"
Kwa kweli hizi ngoma nikizipata ntafurahi sana.
Huu si wanasema wa kufakufa