hii hapa manPlease forgive me ya P funck majani mwenye nayo
Kaka Mkuu KIOO ahsante sana, leo toka asubuhi nimepitia page zote 403 nimevuna OLD which is GOLD. Muziki unaoishi. Ahsante Secret Star kwa uzi huu.
OMBI.
1. Ngoma ya Ney wa Mitego alfanya Bongo Record mapema sana inatembea hivi, ".... Kuishi Manzese imekuwa shida, mambo yanavyokwenda baby sijui kama utaweza...."
2. Crazy GK Feat Fid Q sikumbuki jina ila "..... wamevunja makanisa ili wajenge casino...."
Shukurani kwa madini wana JF
Kama sijakosea ni wimbo ambao Papi kocha ameshirikiana na lady jaydee. Jina silifahamu so ingia you tube waulize tu Papi Kocha ft.lady jay dee yawezekana upo.kuna ngoma moja inasikika saut kama ya papii kocha...
chorus yake inaimba..
"nimpate wapiii, nimtafute eeeh wapi ntamuona wapiii
nitulize nisiwe na wasiwasi"
kama kunamtu anaijua anisave
hii hapa man
Anaitwakuna ngoma moja inasikika saut kama ya papii kocha...
chorus yake inaimba..
"nimpate wapiii, nimtafute eeeh wapi ntamuona wapiii
nitulize nisiwe na wasiwasi"
kama kunamtu anaijua anisave
hii hapa man
Huu hapa bro. EnjoyKaka niaogezee wimbo wa DJ Cutter anaimba:
Ooh mamamiaa, nakuzimia mia asilimia mia eeh.
Ooh mamamiaa, nakuzimia mia naumia moyonii