Don Carlos92
Senior Member
- May 8, 2018
- 157
- 188
Sio kweli nyimbo zote humo zipakulika.Mkuu sawa ila apo huwezi ipata inagoma me nmeaangaika xana but lubega wanaleta jina la nyimbo ila ukiopen hapo huipati
Huu hapa nimekuchulia hapohapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli nyimbo zote humo zipakulika.Mkuu sawa ila apo huwezi ipata inagoma me nmeaangaika xana but lubega wanaleta jina la nyimbo ila ukiopen hapo huipati
Ni wimbo gani unauhitaji man?Mkuu sawa ila apo huwezi ipata inagoma me nmeaangaika xana but lubega wanaleta jina la nyimbo ila ukiopen hapo huipati
Wimbo wa kwanza umeimbwa na E-Money unaitwa Farida na wa pili umeimbwa na rastafari Hardmad unaitwa Tamala.Jaman samahani naulizia nyimbo mbili ambazo sina majina yao ila baadhi ya mistar naikumbuka
1. Umenichoma sindano ya mapenzi wewe farida jamaaa naisi baridi.
2. Niliingia mpaka ndani sometimes nikajifanya mwalimu sometimes niksjifanya mwanafunzi sometimes..........
Baby ni kwambalaaa mabinti wakikwambalaaa
Usikukucha sijalalaaaa nakusubili wewe afterim... Asee hii nilikuwa naiomba utoton Sasa hata maneno sizani kama Ni yakwel Ila naomba msaada
Kaka sijui niseme nini ili ujue nakushukuru.. ahsante sana kaka shukran sanaWimbo wa kwanza umeimbwa na E-Money unaitwa Farida na wa pili umeimbwa na rastafari Hardmad unaitwa Tamala.
Haya hizi hapa
Brother IDIMI tafadhali nitafutie wimbo wa miss Sara( yule alikuwa akifanya sana collabo na Cas T)Wimbo wa kwanza umeimbwa na E-Money unaitwa Farida na wa pili umeimbwa na rastafari Hardmad unaitwa Tamala.
Haya hizi hapa
Ngoja niufanyie kazi. Lakini nahisi mkuu KIOO alishauweka hapa jukwaaniBrother IDIMI tafadhali nitafutie wimbo wa miss Sara( yule alikuwa akifanya sana collabo na Cas T)
siukumbuki jina lake ila kwenye chorus anaimba
"Nikwite jina gani mpenzi, ujue nakupenda"
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Kaka sijui niseme nini ili ujue nakushukuru.. ahsante sana kaka shukran sana
Kaka uliipata Hiyo ngoma?Mwanangu wewe wa Moro mwenzangu, hao walikuwa na ngoma nyingine inaitwa 'Pokea ua' ukibahatika kuzipata usinitupe. Ukiipata na 'Mama' ya Master Bros
Mwanangu wewe wa Moro mwenzangu, hao walikuwa na ngoma nyingine inaitwa 'Pokea ua' ukibahatika kuzipata usinitupe. Ukiipata na 'Mama' ya Master Bros
Mkuu... Kuna Kikundi kimoja Cha Muziki Kilikuwaga Moro town "PeaPea Entertiment" Walikuwa Na Ngoma Moja Inaitwa Helena Aliimba Jamaa Mmoja Anaitwa Luanda... Naomba Nisaidie Kama Unao na KamaNgoja niufanyie kazi. Lakini nahisi mkuu KIOO alishauweka hapa jukwaani
Huu Hapa Kaka Wa Master BrossMwanangu wewe wa Moro mwenzangu, hao walikuwa na ngoma nyingine inaitwa 'Pokea ua' ukibahatika kuzipata usinitupe. Ukiipata na 'Mama' ya Master Bros
Kuna wimbo nautafuta sana nimeenda youtube kwote hakuna wimbo wa nasma kidogo subakheri yupo na mzee mmoja sijui nani msaada tafadhalii wakuu
Wana jf kuna wimo unaimbwa
"Mpende muumba wako oo kwa moyo wako wote daima aa, linda maisha yako oo ukawe na bidii, mfuate Yesu mwokozi , Mpende muumba wako kwa moyo wako wotee,
ni wimbo wa siku nyingi sana nadhani miaka ya tisini na tafadhali anyejua walioimba na nitaupataje nitafurahi sana
Cc: Echolima
Naombeni ule wimbo wa DADA REMMY,ule mpya sio ule wa zamani,natanguliza shukrani zangu kwa ushirikiano