Jaman samahani naulizia nyimbo mbili ambazo sina majina yao ila baadhi ya mistar naikumbuka
1. Umenichoma sindano ya mapenzi wewe farida jamaaa naisi baridi.
2. Niliingia mpaka ndani sometimes nikajifanya mwalimu sometimes niksjifanya mwanafunzi sometimes..........
Baby ni kwambalaaa mabinti wakikwambalaaa
Usikukucha sijalalaaaa nakusubili wewe afterim... Asee hii nilikuwa naiomba utoton Sasa hata maneno sizani kama Ni yakwel Ila naomba msaada
 
Wimbo wa kwanza umeimbwa na E-Money unaitwa Farida na wa pili umeimbwa na rastafari Hardmad unaitwa Tamala.
Haya hizi hapa
 
Attachments

Mwenye wimbo wa bizzman ulikuwa ukiimbwa ........"naomba naombaaaa ukinipa mama sitoomba ......" siujui jina

Naomba mwenye nao
 
Wimbo wa kwanza umeimbwa na E-Money unaitwa Farida na wa pili umeimbwa na rastafari Hardmad unaitwa Tamala.
Haya hizi hapa
Brother IDIMI tafadhali nitafutie wimbo wa miss Sara( yule alikuwa akifanya sana collabo na Cas T)
siukumbuki jina lake ila kwenye chorus anaimba
"Nikwite jina gani mpenzi, ujue nakupenda"

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ngoja niufanyie kazi. Lakini nahisi mkuu KIOO alishauweka hapa jukwaani
 
Ngoja niufanyie kazi. Lakini nahisi mkuu KIOO alishauweka hapa jukwaani
Mkuu... Kuna Kikundi kimoja Cha Muziki Kilikuwaga Moro town "PeaPea Entertiment" Walikuwa Na Ngoma Moja Inaitwa Helena Aliimba Jamaa Mmoja Anaitwa Luanda... Naomba Nisaidie Kama Unao na Kama
 
Sijui kama ndio huu!
 
Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…