Kuna wimbo huwa nautafta ila siujui hata jina ila una meneno haya "nitaliaa... Nitakapockia... Nmeunganishwa na jina lako" ameimba dada mmoja hata cmkumbuki jina mwenye kuujua tafadhali.....
 
huu wimbo kuna mjinga mmoja kila saa 11asbh alikuwa anaupiga kutuamsha hahahahahahahaha
 
Naomba msaada wimbo wa Tabuley mokolo nakokufa ambao umeimbwa kwa lugha ya Kiswahili
 
Wakuu naomba mwenye wimbo wa Bahati Bukuku ndani una mistari hii wanawake waliookoka kweli wana raha
Wanaume waliookoka kweli wana raha ukiangalia matendo yao jamani yanavutia maana Yesu ni kinga yao hawabahatishi
Wanaimba wanasifu wamepata kwa Yesu

Nipate jina la wimbo au link niudownload
 
Nimependa jina
stable woman
 
Unaitwa naomba niulize
Nilitaka niuattach hapa ila umegoma
 
Wimbo wa my everything wa ali kiba nikiupata itapendeza sana. Nahitaji msaada wenu wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…