Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu kama kawaida naomba msaada atakae weza kujua wimbo unaenda na maishairi haya
"Ona Baba yake wamemzika, ona na mama yake wamemzika Loi ayaya"
Ni bongo fleva

Sikumbuki vizuri baadhi ya maneno ila melody naikumbuka

Sent from my Nokia 3.1 using JamiiForums mobile app
 
wakuu mimi kuna nyimbo natafuta ila naijua kiitikio tu kinasema hivi-

fii fii fantatialo uu fantantialo fii fantatialo

nahisi kaimba mwanamke ile nyimbo
Sweet Fanta Diallo ni wimbo wa Alpha Blondy wa Ivory Coast
 
Ninao. Nilishaupandisha hapa ila nimesahau page. Nitauweka tena
 
Wadau,naomba wimbo wa afande sele unaitwa "umeondoka".Kaimba Dito na Nash G.
 
Zion mkushi , idimi, Mtu mpole
Naomba Nyimbo za unique sisters tafadhari na ngoma moja wako na dudu baya inaitwa sikutaka kugombana nawe
Haya hizi hapa. Twende kazi
 

Attachments

Attachments

Kuna nyimbo nilikuwaga nasikilizia 2004 kwenye bar fulani nikiwa niko njwii
Kwenye wimbo mmoja mwimbaji anasema "mama yake amesema niachane na mwanae na mwanae bado anasoma eeh.

Wimbo mwingine mwimbaji anasema "nimedharauliwa sana" huu wimbo unataka kufanana na wa pico ule wa kikongwe
 
Back
Top Bottom