Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeisikiliza lkn sio hii......nimekumbuka ni Adam mchomvu ft. Fid q & j ryder- njoo tule bataJos mtambo ft babuu wa kitaa, Ngwea,Mchomvu,Fid Q - Bata boy
Thanks Much MzeeZiko nyingi sana ndg. Labda uchague
Kuna wimbo mmoja mashair yake yanaimba hivi....."mama usiniuwe unidhuru roho yanguu, usiende kwa dokta kunitoa uhai wangu, bado kitambo kidogo tumboni utanitoaa, ukijutia taabu na raha uzijutieeeh, starehe zenu zimenifanya nikae humuu,,,, ,,marashi ya upendo ya ulilia nafsi yanguu, usiende kwa dokta kunitoa uhai wanguu" dah sijui anaitwa nan huyu jamaa mwenye nayo akinipatia niko tayar kumpa elaHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
machozi ya uchungu naililia nafsi yangu ni simanzi kwangu kuitoa roho yanguKuna wimbo mmoja mashair yake yanaimba hivi....."mama usiniuwe unidhuru roho yanguu, usiende kwa dokta kunitoa uhai wangu, bado kitambo kidogo tumboni utanitoaa, ukijutia taabu na raha uzijutieeeh, starehe zenu zimenifanya nikae humuu,,,, ,,marashi ya upendo ya ulilia nafsi yanguu, usiende kwa dokta kunitoa uhai wanguu" dah sijui anaitwa nan huyu jamaa mwenye nayo akinipatia niko tayar kumpa ela
Unao Huu wimbo mzee Unitumie?machozi ya uchungu naililia nafsi yangu ni simanzi kwangu kuitoa roho yangu
Kuna wimbo mmoja mashair yake yanaimba hivi....."mama usiniuwe unidhuru roho yanguu, usiende kwa dokta kunitoa uhai wangu, bado kitambo kidogo tumboni utanitoaa, ukijutia taabu na raha uzijutieeeh, starehe zenu zimenifanya nikae humuu,,,, ,,marashi ya upendo ya ulilia nafsi yanguu, usiende kwa dokta kunitoa uhai wanguu" dah sijui anaitwa nan huyu jamaa mwenye nayo akinipatia niko tayar kumpa ela
Daaah Asante Sana KakaNgoma hii nimekuwekea hapo, aliimba jamaa wa kuitwa Jimmy Jamal- Usiitoe roho yangu ilitamba sana miaka ya 2004-05. Enjoy!!!!
Daaah
Daaah Asante Sana Kaka
Upo hunu ucheck vizuri tu utaupataNatafta wimbo wa mike tee wananiita mnyaluu
Baadhi ya mashairi M TO ZA Y TO ZA WANANIITA MNYALUU