Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

Kuna wimbo mmoja mashair yake yanaimba hivi....."mama usiniuwe unidhuru roho yanguu, usiende kwa dokta kunitoa uhai wangu, bado kitambo kidogo tumboni utanitoaa, ukijutia taabu na raha uzijutieeeh, starehe zenu zimenifanya nikae humuu,,,, ,,marashi ya upendo ya ulilia nafsi yanguu, usiende kwa dokta kunitoa uhai wanguu" dah sijui anaitwa nan huyu jamaa mwenye nayo akinipatia niko tayar kumpa ela
 
Natafuta wimbo wa Tangawuzu uliimbwa na Marehemu Lwambo Lwanzo Makiadi, ile Saxaphone inanikosha sana,
 
Jamani mwenye wimbo wa nyavu unaotumika kwenye tamthilia ya NYAVU dstv.
Nimetokea kuupenda
 
Kuna wimbo mmoja mashair yake yanaimba hivi....."mama usiniuwe unidhuru roho yanguu, usiende kwa dokta kunitoa uhai wangu, bado kitambo kidogo tumboni utanitoaa, ukijutia taabu na raha uzijutieeeh, starehe zenu zimenifanya nikae humuu,,,, ,,marashi ya upendo ya ulilia nafsi yanguu, usiende kwa dokta kunitoa uhai wanguu" dah sijui anaitwa nan huyu jamaa mwenye nayo akinipatia niko tayar kumpa ela
machozi ya uchungu naililia nafsi yangu ni simanzi kwangu kuitoa roho yangu
 
Kuna wimbo mmoja mashair yake yanaimba hivi....."mama usiniuwe unidhuru roho yanguu, usiende kwa dokta kunitoa uhai wangu, bado kitambo kidogo tumboni utanitoaa, ukijutia taabu na raha uzijutieeeh, starehe zenu zimenifanya nikae humuu,,,, ,,marashi ya upendo ya ulilia nafsi yanguu, usiende kwa dokta kunitoa uhai wanguu" dah sijui anaitwa nan huyu jamaa mwenye nayo akinipatia niko tayar kumpa ela

Ngoma hii nimekuwekea hapo, aliimba jamaa wa kuitwa Jimmy Jamal- Usiitoe roho yangu ilitamba sana miaka ya 2004-05. Enjoy!!!!
 
Attachments

Kuna nyimbo natafuta sijapata
Baadhi ya maneno yanasikika hivi "ninataka uliache rumba",... "Sitaweza kuliacha rumba sababu nimelizoea"

Sijui nani kaimba pia nyimbo yaitwaje
 
Natafta wimbo wa mike tee wananiita mnyaluu
Baadhi ya mashairi M TO ZA Y TO ZA WANANIITA MNYALUU
 
WAKUU HAKUNA MTU ANANYIMBO YA R TONNY NA VUMILIA UNAITWA LISA
 
Back
Top Bottom