Mwenye mp3 format ya Sick of being lonely by Field mob
Dondosha hapa chini tafadhal
 
Wakuu mwenye wimbo wa Ngoni Tribe-Mnungayembe,tafadhali auweke hapa,au kwa anayejua upo post no ngapi anijulishe..Nautafuta sana
 
Kuna wimbo wa mbele huko wanaimba kihispania cjh kimexico kipindi cha corona Mina ally wa clouds alitumia kuimbia kpande tu sema cna attachment yyt.Naomba msaada wa anaeujua
 
Wakuu mwenye wimbo wa Ngoni Tribe-Mnungayembe,tafadhali auweke hapa,au kwa anayejua upo post no ngapi anijulishe..Nautafuta sana
Ve wa mngoni kwani? Nikukota huti maana nigana kumanya. Ye nyimbu nene nivi nayo.
 
Ve wa mngoni kwani? Nikukota huti maana nigana kumanya. Ye nyimbu nene nivi nayo.
Mi sio Mngoni mkuu,ila ni wa Nyanda za juu Kusini,nilikuwa nao kuna mtu aliufuta na memory card akaondoka nayo,naomba uuweke hapa...
 
Huu wimbo ni wa zamani sijui kauimba nani kipindi hiko ndio vingi fleva inaanza
Unaimbwa hivii "tutoe adhabu gani juu ya hawa wanaoturoga
Jini anaeturoga ni shetani
 
Heshima zenu wakuu.....Naomba mwenye wimbo wa Kikosi cha Mizinga unaitwa Umoja ni Nguvu, anisaidie aise. Natanguliza shukrani
 
Kuna wimbo wa mbele huko wanaimba kihispania cjh kimexico kipindi cha corona Mina ally wa clouds alitumia kuimbia kpande tu sema cna attachment yyt.Naomba msaada wa anaeujua
Hio nyimbo ipo kwenye series ya money heist unaitwa Bella Chao chao lugha ni Spanish
 
Inaimbwa hivii

Naamka asubuhi najikuta mfupiii,
Nikicheki kiunoni nina bonge la chupii,
Naingia kabatin nakutana na mjusiii,
Nachukua mkuki natoana nae ndukii,
Sizan Kam n nyimb tulivokuw watt tulikuw tunachana hio mistari takijifany n ss wasanii
 
Wadau Kuna nyimbo ya Jay z inaitwa moma love me rmx inakiitikio kama anaimba mtto hv ukiitafuta You tube haipo utapat yenyew Haina kiitikio naiomben .
Afu 255 ya quick roka na Belle 9
 
Guys, hamna mwenye ako na idea na haka kajimbo jamani, 😕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…