Nautafuta sana Wimbo wa 20% Ft Dulky Sykes Ana Ana Doo Mambo Bado
 
Naomba wimbo uitwao NIKIFIKIRIA walishirikiana Zevans na Enika pale G records kwa Roy Bukuku (rip)
 
Natafuta wimbo wa taarab sikumbuki jina ila nakumbuka maudhui unasema "mbilimbi mbovu ukiguswa unatumbuka, iwe hata na wewe wa kunirusha roho mie kwa Bwana wangu mwenyewe"

Wimbo huu nadhani ni wa mwanzoni mwa miaka ya 2000 hapo.
 
Kuna ule wimbo wa Senzo kuna kipengele anaimba (oooh darasa darasa darasa)
Natafuta sana hii ngoma
 
Mimi kwa kweli nautafuta wimbo wa chamillionaire unaitwa mandrole kama sijakosea ni rapper fulani mda sana sijaupata kweny platfom kibao

Jamaa anakimbizwa na askari izi anakamatwa kweny fance anakadamizwa kupigwa pingu kama kuna mtu anao naomba anitumie video
 
Hahahahaaaa ni Ridin Dirty.

 
Natafuta wimbo wa remix ya shaggy- it wasnt me umeimbwa kiswahili kuhusu wauzaji wa unga
 
Hahahahaaaa ni Ridin Dirty.

Nimeupata aisee nimekumbuka mbali sana πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£hizi ndo ngoma zangu huwaga sijua chrisi brown, tyga , drake sijafuatilii kabisa hawanivutii labda diamond

Ngoma zangu zile za kale marekani

Kama church hearthen - shaggy
Give me- shaggy

Dilema -nelly
Ludacris - get out the way
Miss independent - neyo
Shakira na wycle - hips don't lie
Bow wow - hold me
Wakaina r kelly πŸ˜‰πŸ˜πŸ˜†πŸ˜‰πŸ˜πŸ˜†
 
Anaitwa chameleonear_riding dirt
 
Haahaa safi sana mkuu,mapini mazuri sana ,Ridin Dirty inanikumbusha mwaka 2005 wakati imetoka ,Kuna msela wangu huwa namkumbuka sana alidanja ,mdogo wake ndio aliyenipa hili pini kwenye flash wakati linatoka.
 
Kuna wimbo flan hiv ulikua unapigwa kwenye kipindi cha radio zaman sana Sijui unaitwaje , ila ni kama wanasema β€œ we are the owner , we are the owner β€œ Sijui wanasema kwel hvyo au , ila kajimbo flan katam kako so emotional
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…