kityentyee
Member
- Mar 9, 2021
- 72
- 340
hapana siyo huo,,, ni ile beat nyingine iliyochangamka kidoogo halaf ni kama umeimbwa na mdada,,, ule ulioimbwa na hiyo beat nyingine tofaut na huo uliontajiaUnaitwa Forever in Love - Kenny G
Mwimbaji: Hamza Kalala ...tufurahi na mwaka mpyaNautafuta wimbo wa krismas wazamani wa NOEL.....Unaimbwa
"Tufurahitufurahi na mwaka mpya tuvae,tunywe pombe na mwakampya ooooomama noele mama noele mama na krismas oooyeee"
Betty nimekuzoea kuwa nawe wakati wowote mawazo mawazo mawazo, ukiwa ukiwa.....Wakuu kuna wimbo nautafuta ni aina ya kama bolingo ivi aliyeimba sijamjua ila kuna baadhi ya maneno nayakumbuka katika wimbo huo,
Mpenziii nimekuzoea
Kuwa nawe wakati woote
Mpenziii nmekuzoea
Kuwa nawe wakati wooote
Mawazo mawazo mawazooo
Ukiwa ukiwa ukiwa
Binti nimekuzoea
Kuwa nawe wakati wote.
Kama kuna mtu ameutambua naomba anisaidie jina la mwimbaji au wimbo, kama anao itapendeza zaidi
Yess mkuu, na ndio huo, kama unajua please jina la mwanamuziki au wimboBetty nimekuzoea kuwa nawe wakati wowote mawazo mawazo mawazo, ukiwa ukiwa.....
Juma kakele wimbo unaitwa betyWakuu kuna wimbo nautafuta ni aina ya kama bolingo ivi aliyeimba sijamjua ila kuna baadhi ya maneno nayakumbuka katika wimbo huo,
Mpenziii nimekuzoea
Kuwa nawe wakati woote
Mpenziii nmekuzoea
Kuwa nawe wakati wooote
Mawazo mawazo mawazooo
Ukiwa ukiwa ukiwa
Binti nimekuzoea
Kuwa nawe wakati wote.
Kama kuna mtu ameutambua naomba anisaidie jina la mwimbaji au wimbo, kama anao itapendeza zaidi
So much thanks mkuu, na barikiwa sanaJuma kakele wimbo unaitwa bety