Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,278
- 1,288
Msaada wimbo wa Lady Jay Dee unaitwa ''Siku yetu imefika'' ni wimbo wa harusi. . Youtube sijaupata so mwenye nao anisaidie...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msaada wimbo wa Lady Jay Dee unaitwa ''Siku yetu imefika'' ni wimbo wa harusi. . Youtube sijaupata so mwenye nao anisaidie...
Mnisamehe-Mr Ebbo ft Mkoloni
Huu nimeusaka kila kona siupati
Nyimbo nyingi za zamani ukiingia YouTube unazipata, hata huu Youtube upo.Pia naomba mwenye wimbo wa:
Kurugenzi Jazz Band - Wivu ukizidi.
Natanguliza shukrani wakuu.
Ingia YouTube utaona video zake.Kuna wimbo huwa unatumika kwenye kipindi cha mchana cha cha radio moja ya kimataifa,kati ya bbc au Deutsch welle...wimbo unaimbwa "aaaeee Africaaa eeeh,Africaaa eee..........
Msaada was nyimbo za hamza kalala bava jenny baibai
Gangwe Mobb - NGANGALI
Mwenye nyimbo ya Sisi tambala - katope
Mabaga fresh nakata roho msaada wimbo nimeuona eastafricantube.com
Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
Asee mwenye wimbo wa MWANA DAR ES SALAAM YA TWANGA PEPETA tafadhali.
Naomba wimbo wa mike t unaitwa mnyalu
Kiitikio chake m to za y to za wananiita mnyaluu natanguliza shukrani.
Natafuta wimbo wa Kiu ya mapenzi wa Muumin Mwinjuma.
Kuna ngoma inaitwa NILISOMA NAYE ya Soggy Doggy...aisee naitafuta sana, kila site siipati.
Ungekuwa unaufahamu jina la huo wimbo ingekuwa rahisi kuutafuta sababu nina nyimbo nyingi.Wakuu Kuna Ngoma Walishirikiana Ali choki, Banza stone Na Muumini Mwinjuma ni Rhumba flani nzur sana Mwenye Nayo Aitipie hapa
wimbo wa twanga pepeta safari2005, ndani kuna maneno " nikifika kule stoko ili nimuone merry wangu" nimeutafuta youtube , vidmate kwote haupo, mwenye nao autupie
Heshima zenu wakuu.....Naomba mwenye wimbo wa Kikosi cha Mizinga unaitwa Umoja ni Nguvu, anisaidie aise. Natanguliza shukrani
Original nitakuwa nao, nitautafuta na nikiupata nitauweka hapaKuna wimbo kaimba mzee gurumo,anaimba hivi,unatesa familia yako kwa kujali anasa kutwa kwenye mitaa nyumbani huonekani,nautafuta sana huu wimbo