Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Pia naomba mwenye wimbo wa:

Kurugenzi Jazz Band - Wivu ukizidi.

Natanguliza shukrani wakuu.
Nyimbo nyingi za zamani ukiingia YouTube unazipata, hata huu Youtube upo.
 

Attachments

Nautafuta wimbo flani sijui ni band gani ilioia ila nakumbuka baadhi ya mistari
Ayayay Salam Salam pokea tumefurahi sana Everest kwa ushauri wako uliotupea
Tulipofika aruusha tulikaribishwa
 

Attachments

Back
Top Bottom