Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Shukran Sana chief...kuna nyimbo nyingine nimekuwa nikiitafuta bila mafanikio ya stara thomas- nakupenda wewe....sina uhakika na jina la nyimbo Ila Nina asilimia 70 unaitwa hvyo naimani utakuwepo nao[emoji120] [emoji3]
 
Mkuu kuna wimbo flani nadhan ni wenge bcbg unaimba "baswahi batakingalaba, baswahili batakingalaba, eliiiiiiiiiii..... . Nipatie tafadhali.
 
Back
Top Bottom