Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,278
- 1,288
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui kama ndio huu!View attachment 1803906
pia mwenye hii version ya mamou. Ile original wala sina shida nayo
Mkuu kama unao wimbo wa Stara Thomas kama sijakosea jina unaitwa "Nipo kwa ajili yako" nauomba.
Salama mkuu!Nina nyimbo nyingi za MP3 za aina mbalimbali Zilipendwa, Bakulutu, Bongo Flavour, Charanga, Reggae, Twist, Kwaya, Taarab, R&B, Mduwara, nyimbo za Kihindi, Kiarabu nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna wimbo
"kila leo napofikiria, pigo gani litaacha historia, awe kiongozi awe rai, ......."
inaongelea mambo ya viongozi kufa, ya zamani.
Nipeni hii pini
Mkuu kama una wimbo wa "Africa mokili mobimba uliombwa na Tshala muana" nauombaNina nyimbo nyingi za MP3 za aina mbalimbali Zilipendwa, Bakulutu, Bongo Flavour, Charanga, Reggae, Twist, Kwaya, Taarab, R&B, Mduwara, nyimbo za Kihindi, Kiarabu nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ubarikiwe sana dah nimetafuta sana huu wimbo🙏Nimekuwekea Kanizimia, hiyo mingine sina
Ingia YouTube utaona video zake.
Kama hii -
Mkuu kama una wimbo wa "Africa mokili mobimba uliombwa na Tshala muana" nauomba