Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Naomba wimbo wa mkubwa na wanawe unaitwa innoh
Na wimbo wa kijita unaitwa ndolela
 
Naomba original version ya wimbo wa Hamza Kalala unaitwa Magufuli juu.

Orijino yake ya miaka ya 2000 wanaimba...

Huyo hamza kalala,
Wamemchokoza wenyewe,
Sasa waiona....,
Wafunga milango,....
 
Habari za mida hii Wakuu[emoji120]

Nipo nautafuta huu wimbo ila sijajua ni chanzo gani nitaupatia wala Msanii Mwenyewe alieimba simjui ila nimekariri baadhi ya Maneno ya kwenye huo wimbo, anasema hivi.

"Nimemfukuza Wangu Moyo eti kwa sababu ya binti, Moyo wangu unauma mama nafsi yangu inajuuta Usiku huu binti amekuja na barua mkononi kutoka kwa Wazazi"

Ntashukuru sana kama kuna Mwana Jf ameshaujua ni Nyimbo gani au ni Msanii gani?

Wimbo unaitwa nimemfukuza umeimbwa na msanii Norichiko!!
 
Kuna wimbo flan wa gospel umeimbwaa na mkenya beat yake inaanza kama na kengele hivi na baadh ya msneno nnayoyakumbuka ni. "wakristo tukaze mwendo shina na njaa vitakwisha" sijui kama nimepatia sana hayo maneno ila mashairi yake yalihusu sana mateso walokua wakipata watumish wa Mungu
 
Kuna mix tape cjui ni albam walotoa tmk family enz zle za mikanda ya tofali kuna wimbo ulikua unaitwa rahabu aliyenao tafadhali
 
Kuna mmoja flani hivi wa zaman miaka ya 2000 ni wa dini,sijui mwimbaji ni wa kenya au tz, unaimbwa "bwana usiniadhibu kwa gadhabu yako,bwana usinihukumu kwa hasira yako,maana mishale yako imenichoma,oh oh aha eah usijitenge nami"

Na ule wa farida ft fid q -honey
 
Back
Top Bottom