Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
WADAU NAOMBA MWENYE NYIMBO YA SHACKS FT VUMILIA INAITWA HOMA YA PENZI MWENYE NAYO ANAWEZA KUIWEKA HAPA JUKWAANI TAFADHALI SANA JAMANI NISAIDIENI HIYO NYIMBO, NIMEITAFUTA BILA MAFANIKIO.
 
Wakuu naombeni msaada wenu kuna winbo nimekuwa nikiutafuta sana lakn sijawai kuuoata tatzo sijuwi jina lake ila kionjo chake kuna sehem wanaimba ..bolingo bolingo sakiee mamieeee mami saakii

Unamaanisha Assoćie ya fally Ipupa
 
Mwenye wimbo unaitwa "Jina lako li hai" umeimbwa na Kijitonyama Upendo Group anisaidie. Nauhitaji sana ndugu zangu!
 
Nautafuta huo wimbo wanabodi[emoji120]
Screenshot_20210819-095327.jpg
 
Mimi natafuta wimbo Ameimba Jay moe alafu kiitikio kaimba t.i.d unaitwa tingisha Kama kiberiti ,nimetafuta huu wimbo lakin wapi , unanikumbusha enzi Niko form one mwaka2005 ulipigwa siku ya kutupokea aisee lile disco siwez lisahau ,sasa huo wimbo ulipigwa Zaid ya Mara Mia
 
Enyoy
 
Attachments

Kuna rhumba moja hivi kali sana, siujui jina, manake ningekuwa naujua ningeupata you tube, sijui nafanyaje mimi
 
Natafuta wimbo Wa kale sana sijui unaitwaje ila una maneno kama " chawa na panya waliishi nyumba moja... Samahani sana.., samahani sanaaa..!
 
Naombeni mnisaidie kupata wimbo unaitwa
Ole Ola- by James Kaleth&Bob Mitchell & Jez Pike

Album -Ibiza Guitar

Nimeenda YouTube haupo na nimetafuta Google kila ninakopita sipati mahali ambapo upo free,yaani ni lazima uununue.
 
Back
Top Bottom