Kuna wimbo fulani hv nautafuta sikumbuki jina lake ila ulitoka kwny maadhimisho ya uhuru nahisi kwnye maadhimisho ya karibuni kama 2020,019,018>2015 ni wa mwishomwisho tu nisaidieni[emoji120]
 
Namtafuta WIMBO unaimbwa hivi
Kwako sikikii baby baby why nini kijacho kusumbua maumivu mateso yakwako yananikisesha hata raha
 
masela bomba mademu bomba ndani ya weekend DAR ES SLAAM BY NIGHT JOAN KAITIKIA WALICHANA MASELA FLANI HIVI


aliyepata Hii nyimbo wakuu Naiomba
 
Jamani kuna nyimbo ameniambia msanii DI'JA wa nigeria kutoka label mavin. Wimbo unaitwa awww. Katika wimbo huo katika chorus ametumia melody ya wimbo mmoja wa blues maarufu ..ila siukumbuki. Naomba mnikumbushe mkuu.
 
Wadau naombeni wimbo wa Tam Tam Paulina utunzi wake bad bakule ambao haukwami kwami natanguliza shukrani zangu.
 
Habari natafuta nyimbo za mwanamama Rehema Tajiri moja inaitwa penzi la uongo na nyingine inaitwa sina la kusema Kwa penzi lako
 
Mwenye huu ukiwa full tafadhali anisaidie
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna wimbo maishairi yake nasema
Sasa baby gal
Sasa baby gal si itani nimekumiss
Nakutafuta nashindwaa..
Sasa baby gal
Tafadhali mwenye kuujua tafadhali sana
Unaitwa Baby Girl ameimba jamaa anaitwa KingLenny
 
kuna kibao kimoja cha miaka ya 90 mwanzoni sjui aliimbaga nani. kuna hook inaimba "MKE WANGU MI MLEVI ANANUKA POMBE".
ikipatikana ntashukuru sana [emoji1431]
 
Ngoni Tribe-Manungayembe
Mike T feat. Ferouz-Mnyalu
Mwenye hizi nyimbo please..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…