Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Ndugu zangu naombeni wimbo wa mokibo soundi tinga tinga baadhi ya mashairi yapo hivi👉👉 mdomo wa chupa una fanana na nini???
Mdomo wa chupa una fanana na nini tinga tinga iyooo kata kiuno chako tuone kma kina mambo.
 
Idimi
Huu hapa man. Enjoy
Bwana mkubwa naomba wimbo wa mzibo sound band kwenye hiyo band inasikika sauti ya waziri sonyo baadhi ya mashairi yapo hivi.
Eeeeeh haiwezekani kuniachia miwaya haiwezekani.
Walikuwepo masikini Kama mie walikuwepo matajiri Kama walee lakini hatunao.
 
Nyimbo za kwaya ya victory singers ya dar es salaam kama Yerusalem, Shahid etc etc, ntazinunua
 
Hii nyimbo DDC MLIMANI PARK inamashairi haya:-

"umebaki kuwagombanisha wenzio na waume zao ooh.
Eti unamfata mzazi mwenzio mamaa, muongo! .......

Ulipokuwa ukizitumia pesa za mmeo kumstarehesha yule bwana, tulikuonya dada hizo bia zitakuponza dadaa"

2.Wimbo wa Msondo ngoma unaitwa "Mchawi Ndugu"

Bonus tracks
1.Double double ya extra bongo na mwaka wa tabu ya Ally choki.

Hizi nyimbo nimezitafuta bila mafanikio mwenye nazo nakuomba uziweke nasi tuzipate
 
mwenye kujua nyimbo ziliandikwa kuwa ni za sophia george kama vile THE WORLD IS GOING BAD, MESSAGE TO YOUTH MAN NVA NVA nitazipata wapi?
 
mwenye kujua nyimbo ziliandikwa kuwa ni za sophia george kama vile THE WORLD IS GOING BAD, MESSAGE TO YOUTH MAN NVA NVA nitazipata wapi?
Muimbaji ni Evi Edna ogholi na si Sophia kama wengi wanavyodhani,nyimbo zake zipo u tube check hapa
 
Jos Mtambo - Kithaa thaa(Kizaa zaa).


Ni wakati wa kujilinda sasa utakoma utaenya na kithaa thaa(kizaa zaa).
 
Wakuu natafuta wimbo wa zungguzungguguzungguzeng uliimbwa na mwanamziki Yellow Man.
Hili goma nimelitafuta kwenye vyanzo vyangu lakini sijafanikiwa kulipata.
Mwenye nalo msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom