Kuna wimbo mmoja wa dini nautafuta sanaaa sijajua ameimba nani hila ni mwanamke.
Unaimbwa hivi.
"Njooni tumwabudu Mungu baba, Mwenye sifa zote zakuitwa baba, ameinua wanyonge, ameinua yatima amewaweka huru waliofungwa" nmeusikia mda sana, anaeijua hii kwaya au muimbaji naomba tafadhari
 
Hii ngoma niliangaika sana kutafuta asee.

Mawazo yangu yote na nilivokua natafuta najua kaimba Tems na ngoma inaitwa Vibe Killer.. kumbe nilikua njee kabisa.

Now on repeat baada ya kuipata.

 

Attachments

Natafuta wimbo zilipendwa wa Christmas, maneno yake;
Iyooo krismas, iyoo, iyooo, iyoo
one,two, three, four
i happy krismas iyooo iyoo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…