Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu mi naomba msaada wa hizi ngoma
Kigwema ft joslin-niite basi rmx
Manzese crew ft nature-salima
Tiptop(madee&babu tale)ft inspector harun&Ray c jina la wimbo nadhani itakuwa NANI AWEKWE NDANI
 
Kuna wimbo zamani nilikua nikiusikiliza unaitwa maya nahisi
Ila ulikua Kuna kipande wanaimba "mtu alikuwa mtumishi wangu Leo amekua bwana "
 
Kuna member aliwahi kutoa banger sons zenye mdundo mkubwa, anayeikumbuka hiyo post naomba anitag
 
1.Wimbo unao husu mapinduzi ya Zanzibar- sehemu ya maneno katka wimbo huo. "Ndugu zetu wamepotea kwa kupiginia nchi yetu...."

2. TAWABA
3.ANGELA hizi 2 za TP OK JAZZ
 
1.Wimbo unao husu mapinduzi ya Zanzibar- sehemu ya maneno katka wimbo huo. "Ndugu zetu wamepotea kwa kupiginia nchi yetu...."

2. TAWABA
3.ANGELA hizi 2 za TP OK JAZZ

Wimbo wa kimapinduzi: Sisi sote tumegomboka
Inigia hapo kuuskiliza

Link ingine hii ya video live Uwanja wa Aman

 
Mwenye hizi nyimbo msaada 1.TAWABA
2.ANGELA ZILIIMBWA NA TP OK JAZZ CHINI YA FRANCO
 
Back
Top Bottom