Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Ninao nimeupandisha unagoma.Mimi natafuta sana kibao cha Elimu ya Mjinga toka kwa Banza Stone.
Nashangaa unagoma kila nikiupandisha hapa, Lakini Youtube upo.Mkuu,,
Kama umechota uhitaji wangu..
Huu wimbo nautafuta sana lakini siupati..
Elimu ya mjinga ni majungu-R.I.P banza stone..TOT PLUS.
"Bora ukose Mali upate akili".
Kesi ya khanga.wakuu
natafuta wimbo wa zilioendwa jina la wimbo na bendi
unaimbwa hivi
mama nipe nauli nikamtafute monica amekimbilia zambia na madeni ya watu
kisa cha kukimbia madeni yamemzidi doti 10 za kanga alizokopa hajalipa
"Shida" covered by Melisa Mara ya mwisho niliusikia ukipigwa "choice fm" nimeutafuta bila mafanikio.Kuna wimbo wa ardhi University mzuri sana mwenye bao nahitaji
Kipindi kilikuwa kinaitwa Indian flavorKwa wasikilizaji wa Radio free africa kipindi hicho kila jumapili kulikuwaga na kipindi kinaitwa Indian style
Kuna wimbo ulikuwa ukitumika background, nimeattach namna ulivyokuwa ukiimbwa tafadhali anayejua jina la wimbo au mwenye nao naomba.
Natanguliza shukrani
Maliose- Richard (sharobaro records)Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Mercy chwino wimbo excess loveHabari wakuu
Naombeni jina huyu Msanii wa kinaijeria anaimba gospel
Moja ya wimbo wake anaimba
Jesus Lavi too machoo too macho
P1 Sana mkuu ubarikiwe sanaMercy chwino wimbo excess love
Maliose- Richard (sharobaro records)