Wakuu naombeni jina huyu Msanii
Wimbo unaitwa ikuweme nahisi ni mnaijeria
 
tanzanite chaupele nmeitafuta hii ngoma leo nmeamua kuiweka humu kama kumbukumbu siku nikiihitaji najua nitaipata humu
 
Habari wa kuu, kunawimbo wa machozi band kwa jina siujui , nimejaribu kuutafuta kwa lyrics zake bila mafanikio , kwa anayeujua naomba anisaidie . Baadhi ya maneno ya wimbo huo ni haya "moyo ni nyama tupu , ukioza wapotea haibaki mifupa , nakukabidhi uutunze" inawezekana lyrics sijapangilia vizuri , natanguliza shukrani
 
Natafuta wimbo uliimbwa na African Revolution Band.
Mjomba njaa.
Au kama nikipata ile albam yao yote, aliimba Prince Mwinjuma Muumini.
Natanguliza shukarani
 
Natafuta ngoma za maombolezo ya Rodney Mutie Mengi.
1.Jay moe feat.Salama_tutakukumbuka
2.TID feat.Fid Q,P funk na Ngwair
 
Km Kiitikio chake kina maneno haya ninakupa moyo wangu uuweke mpenz, usije tupa jalalani usipuuze penz langu usijeliwa na mafunza ukapotea milele huzuni nikiuona moyo wako u jalalani. Basi utakuwa ni wimbo unaitwa moyo kaimba jaydee na papii kocha
 
Nisaidieni nyimbo hizi za dini wakuu;
1-Kwa nini wasimama mbali ya katoliki
2-Mungu wangu mbona umeniacha ya katoliki
3-Navumilia ya katoliki
4-Chenga ya mwili ya katoliki
Nnazo hizo nyimbo, ila hta youtube zinapatikana.
 
kuna wimbo mmoja nahis kama ni wa jim reeves au nani sijui una lyrics hizi pia sina uhakika nazo
“we are called we gifted we learning to respond to knees of the world we living here today”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…