Kuna wimbo nautafuta wanaimba hivi
"Uende salama beti urudi salama kwani mora akipenda tutaonana"
 
1-Moro inapendeza inang'ara kama jua ya Yusuph Ngwenje(YN) Mwenye nayo tafadhali.
2-Sikufichi ya gheto boys
3-Nyimbo zote za master Bros
 
Natafuta wimbo wa kitambo hivi wa Bongo flavour kaimba mdada mistari yake ni hii

" sheila sheila uwe na huruma kwani moyo unaniuma penzi langu ni la dhati kwani nimempata wa bahati sheila uhuuuu sheila ahhhhh" "
Huu hapa
Your browser is not able to play this audio.
 
"Mwanzo wa mapenzi kuko kama asali, katikati ya mapenzi kutamu kama limao, mwisho wa mapenzi kuko kama pilipili"

Huu ni wimbo niliusikia mwaka 1996 na Kanda yake ilikua na nyimbo kadhaa nzuri, sijui muimbaji alikua ni Munishi yule au nani, mwenye kumbukumbu tafadhari
 
Kuna kwaya moja waliimba wimbo wa..
Watachukua darubini,na kupima juu angani wakidhani watawaona watakatifu wa Bwana.
Naomba huo wimbo kwa mwenye nao
 
Kuna album moja ya kwaya katoliki shinyanga ina nyimbo kama.

Pokeeni furaha ya utukufu

Tazama Mungu ndiye anayenitegemeza
 
Nausaka sana wimbo mmoja "Okanga Bissaka", Joti aliwahi kufanya cover
 
Your browser is not able to play this audio.

Your browser is not able to play this audio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…