Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Jamani Mimi natafuta wimbo Sina uhakika na mwimbaji sijui ni Belesa Kakele (zilipendwa) unasema watoto wamekuja juu wanadai Mali yao......wameshasahau wosia wa baba yao....
Lakini mwenye Mwanameka ya Marijani atupie
Zimo kwenye ili jukwaa ama kama hazipo basi kwenye YouTube zipo.
 
Natafuta sana nyimbo hizi bila mafanikio.Mpangilio wake kwenye albam ulikuwa hivi
Sauti ikatoka
Adamu na Eva walikula tunda
Mateso yake bwana yesu
Nimekuweka chini
Bwana ndiye mchungaji wangu
Mimi mzabibu
Bwana Mungu asema leteni dhaka
Bwana niangaze n.k

Nimetafuta kila mahali mitandaoni sipati.Hakika zilikuwa zinanibaliki sana mwenye nayo albam hii anisaidie

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Natafuta sana nyimbo hizi bila mafanikio.Mpangilio wake kwenye albam ulikuwa hivi
Sauti ikatoka
Adamu na Eva walikula tunda
Mateso yake bwana yesu
Nimekuweka chini
Bwana ndiye mchungaji wangu
Mimi mzabibu
Bwana Mungu asema leteni dhaka
Bwana niangaze n.k

Nimetafuta kila mahali mitandaoni sipati.Hakika zilikuwa zinanibaliki sana mwenye nayo albam hii anisaidie

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Jaribu YouTube utapata baadhi ya nyimbo.

Kama utakuwa ujazipata nitakuja kuziweka hapa kwenye hii thread.
 
Natafuta nyimbo ya TBT Crew inaitwa -CHINGA hii nyimbo ni ya Bongo fleva miaka ya 2001 mwenye kuijua aitupie tuskize
 
Kuna wimbo wa kala jeremiah kuna mstari aliimba "ulilima mahindi vip hao ngedere" karma sikosei mweny anaujua tittle anisaidie plz
 
Natafuta wimbo wa kitambo hivi wa Bongo flavour kaimba mdada mistari yake ni hii

" sheila sheila uwe na huruma kwani moyo unaniuma penzi langu ni la dhati kwani nimempata wa bahati sheila uhuuuu sheila ahhhhh" "
 
Bushoke-Kwani we ni Nani
Mr.Ebbo-Hesabu
January feat.Chekedaa-Kichinachina
Bonge la Nyau-Walaghai(huu naomba original version yake sio ile ya youtube
 
hivi ile instrument iliokuwa ikipigwa kutambulisha kipindi cha zamani radio one chombeza time saa 4 usiku inaitwaje,mwenye anafahamu plz jina la msanii na instrument
 
natafuta wimbo KAMALEE MAMA KAMALEE wimbo unapendwa kuimbwa na watu wa mziki wa band ktk bar nyingi
 
Back
Top Bottom