kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
Kuna nyimbo naitafuta sana ya Bongo flavour ya kitambo. Hio nyimbo kaimba mdada mwanaume sijui ni steve rnb na kamshirikisha mdada.
Una kiitikio hivi '' mbona wanifananisha naee nami siko kama yeye''
' ' usinihukumu, umeni hukumu' '.....
Msaada wanandugu @
Stive wa rnb ft maunda zoro
Usinihukumu. Itafute ipo mtandaoni