Natafuta wimbo unaoitwa kupendwa na wewe uliimbwa na unique sisters. Pia natafuta nyimbo za irene na umerudia tena ziliimbwa na hk
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
WADAU NAOMBA WIMBO WA WATEULE MTAANI KUNA NJAA UNAOFIKA MPAKA MWISHO ULIOPO YOUTUBE HAUFIKI MWISHO.
MSAADA WENU NDUGU ZANGU.
 
Kuna wimbo tulikuwa tunauona zamani sana kwenye video sina uhakika kama ni wa hussein jumbe au vp...jamaa anaimba kuhusu kumpa talaka mwanamke ambaye anaonekana yypo bize sana kishangingi zaidi badala ya kujali ndoa.......
 
Aisee kuna wimbo nautafuta siupati unaimba 'nitakwenda peke yangu nasikia kuitwa naye' ni wa dini anyone anisaidie tafadhali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…